Utawala wa Kristo miaka elfu Duniani

April 15, 2018


Oscar Makombe (Mzee wa kanisa)
Kuja kwa mara ya pili kwa Yesu Kristo ni pamoja na
(Zakaria 14:5, Mathayo 24:27&30, Ufunuo 19:11-14, 

kunyakuliwa kwa watakatifu (Ezekieli 37:21-22) 
tumaini lenye baraka kukifuatiwa na kurudi kwa wazi kwa Kristo pamoja na watakatifu wake kwa ajili ya kutawala hapa ulimwenguni kwa muda wa miaka elfu moja.
Utawala huu wa miaka elfu moja utaleta wokovu kwa israeli kama taifa
Na kuanzisha kwa amani ya ulimwengu mzima
Baada ya miaka 1000:-
Watu watakuwa watenda haki
Hakutakuwa dhuruma
NB: Endelea kufuatilia ukurasa huu kupata mfululizo wa masomo  MISINGI KUMI NA SITA YA IMANI, na MWL. OSCAR MAKOMBE
Tembelea ukurasa wetu wa FACEBOOK kupata habari na mafundisho ya kibiblia

No comments:

Powered by Blogger.